Akili platform Tanzania
Ni taasisi isiyo ya kiserikali inahusika na afya ya akili, mazingira, haki za binadamu na elimu kwa wenye mahitaji karibu sana Tanzania
AKILI PLATFORM TANZANIA
Kwa kutambua thamani ya mazingira sasa tunalenga kufanya mapinduzi makubwa sana katika kupanda miti ya matunda kwenye maeneo yaliyochaguliwa na wadamu.