π¨Rais wa Yanga, ENG. HERSI SAID ameteuliwa na FIFA kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne [2025-2029]
Hersi amekuwa mtu wa kwanza kutoka Afrika Mashariki na kati kuingia kwenye kamati kubwa ya mpira Ulimwenguni.
Kikosi cha @YoungAfricansSC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby
HAKUNA KIPENGELE .. ππΌπ°ποΈ
Mnaoniuliza Lile βGoli Halaliβ walilonyimwa PAMBA JIJI Leo dhidi ya AZAM FC kwanini mpaka muda huu halijapostiwa kwenye page ya AZAM TV
Nafikiri kuweni na Subra .. Ni ishu za ufundi tu, Watapost.. π
π¨Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka
βEffect ya ACA chini ya Brain Eng Hersiπ§ β
Tangu Eng. Hersi Said awe Mwenyekiti wa ACA, kwa Mara ya Kwanza Klabu zote zilizoshiriki Hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa /Kombe la Shirikisho CAF zilipata Fedha ya maandalizi, Tofauti na zamani Hela ilianza Group Stage
Kila Klabu ilipata Dola 50,000 hatua ya awali.
ππππ πππππ ππππππ ππππ
Tiketi za mchezo wa TP Mazembe zimeshaanza kuuzwa
VIP A - 30,000
VIP B - 20,000
VIP C - 10,000
MZUNGUKO - 5,000
Hakuna muda wa kupoteza! Hii ni DO & DIE Kwetu Wanayanga. Kata Tiketi yako Mwananchi [ Kwa njia ya Simu/ Kwenye vituo
π¨Prince Dube amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga HAT TRICK kwenye uwanja wa KMC tangu Uwanja huo ulivyoanza kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu
Nb: Kitale anaendaga KMC kufunga Viatu tuπ
90 minutes Barca wanatoka uwanjani bila kupiga shuti Lolote langoni [0 Shots On Target] ..
bila shaka, Makocha wengi watakaokuja kucheza na Barca wataipitia sana hii Mechi ..
Real Sociedad wametoa shule ambayo wapenda Football Tumeenjoyπ§ π
Barcelona wamefunga Magoli 55 katika Shots on Target 102 walizopiga kwenye mechi 17 walizocheza Msimu huu kwenye mashindano yote
Hii ni zaidi ya 50% ya usahihi wa utumiaji wa nafasi zao..
Ni wana βUpepo mzuriβ au wana Better session za Finishing kwenye uwanja wao wa mazoezi?
Kesho saa 1:00 asubuhi, Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika Nitakwenda kuutembelea na kuupa Baraka uwanja wetu wa KMC COMPLEX pamoja na kupiga picha na Mashabiki wa Yanga
Waandishi wa Habari mnakaribishwa