Leo Ijumaa ya Oktoba 31, Nimepata fursa ya kuzungumza na wafuasi, Wanachama wetu wa @ACTwazalendo, pamoja na wananchi kwa ujumla, nikiwataka wawe na subra na waendelee kutuamini Viongozi wao, huku nasi tukiendelea kuipigania Haki yetu kwa njia ya Amani.
Meneja wa Kampeni za Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, amesema Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho ndiyo kinachobeba dira ya mabadiliko ya kweli kwa Zanzibar.https://t.co/VOYs02uRjr