@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ USHAURI
Ukifuatilia Vizuri Bunge, Miezi Kadhaa Nyuma Kupitia Spika wa Bunge Dr. @TuliaAckson alisema, "Vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali wapewe kipaumbelw pindi zinapotokea ajira" na Pia pesa ya kujikimu katika asasi za kiraia Kwa Vijana wanaojitolea imeongezeka ๐๐พ
@MaxTz255_ 1. Kama umeweka Kijana, Asisave Namba Zako kama boss wake ama mtu wa Karibu wa boss that might be the weak point
2. Usimuamini mtu na Pesa Zako
3. Usimpe Mteja Simu(Atasave Namba either Kwa jina la Mtandao Kifedha)
4. Shida zako ndio weak point ya kwanza, ......
@MaxTz255_ Usimpe mteja simu yako ya kazi ili aandike namba, usisave namba yoyote kwenye phone book ya simu ya kazi, hakikisha kila Till inakaa kwenye simu ya peke yake yaani simu moja Till moja ili usichanganye sms za miamala, usimuhudumie mteja ambae anaharaka labda muwe mnafahamiana.
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameweka Jiwe la msingi Mradi wa Maji wa Miji 28, kwenye hafla iliyofanyika Handeni Mkoani Tanga.
Mradi huo utaimarisha upatikanaji wa maji katika Wilaya za Handeni, Korogwe, Pangani na Muheza.
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations to His Excellency Mahmoud Ali Youssouf, on being elected as the Chairperson of the African Union Commission. I look forward to working with you in our collective pursuit for a more prosperous, united and peaceful Africa.
Mapema leo Jijini Dar es Salaam, kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, nimepokea Tuzo ya The GoalKeepers Award inayotolewa na Taasisi ya Gates Foundation.
Tuzo hii ni heshima kubwa kwetu Watanzania kwani mbali na sisi kufurahia matunda ya hatua kubwa tunazoendelea kupiga katika sekta ya afya, inadhihirisha dunia inatambua juhudi zetu katika kuboresha afya ya uzazi na afya ya Mama na Mtoto.
Nchi yetu imefanya kazi kubwa na ya kujivunia, ambapo mpaka sasa tumefanikiwa kupunguza vifo vya uzazi kwa asilimia 80%, kutoka vifo 556 kwa kila vizazi 100,000 hadi 104; na vifo vya watoto chini ya miaka mitano kutoka 67 hadi 43 kwa kila vizazi 1,000.
Kazi hii njema inaendelea ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya wataalamu wa afya, kutoa huduma za afya bure kwa akina mama na watoto, kuanzisha programu za lishe, kuimarisha mifumo ya rufaa, kuboresha huduma za dharura na kuwekeza katika teknolojia ya kisasa ya afya mijini na vijijini.
Tuzo hii naielekeza kwa watumishi wa afya kote nchini kwa kazi kubwa wanayofanya usiku na mchana kuwahudumia Watanzania, lakini pia kwa washirika wetu na wadau wa maendeleo katika kazi ya kuboresha afya ya uzazi nchini.
STORI YA KWELI YA VIJANA WATANO (5) WALIOFUNGWA KIMAKOSA KWA KESI YA KUSINGIZIWA KISHA KUACHILIWA WAKIWA TAYARI WATU WAZIMA.๐ง๐พโโ๏ธ๐ญ๐ฅ
Uziii...๐งต
Historia ya vijana watano weusi maarufu kama โCentral Park Fiveโ ni moja ya matukio maarufu ya dhuluma za kimfumo ndani ya mfumo wa haki wa Marekani.
Tukio hili lilihusisha vijana watano waliokamatwa, kushtakiwa, na hatimaye kuhukumiwa kimakosa kwa kosa la kumbaka msichana wa kizungu, Trisha Meili, katika Central Park, New York, mnamo Aprili 19, 1989.
Vijana hawa watano walikuwa:
1.Antron McCray
2.Kevin Richardson
3.Yusef Salaam
4.Raymond Santana
5.Korey Wise
Wakati wa tukio, walikuwa na umri wa miaka kati ya 14 na 16.
Follow @mchache_tz
Endelea.....๐๐ฟ