@kigogo2014 Dah siamini tunakuaminia sana kigogo wewe uku kwenye mpira utahalibu kwakuwa wewe simba na yanga pia kitendo cha wewe kuegemea upande mmoja nasi unatugawa mfano angalia mbowe aliposema chanjo iwe lazima ghafla watu wamemkataa mpaka leo watu hawamuelewi kwa jambo lile tuu plz