Unaangalia fainali ya Kombe la Dunia 2026: Perfomance za maana kutoka kwa Post Malone, iShowSpeed, Madonna, Shakira, Burna Boy, BTS, Justine Bieber, Gustavo Dudamel, ColdPlay hadi Tom Cruise (special guest). Hakuna picha ya mwanasiasa, wala hakuna mtu anayemlamba miguu mtawala au Serikali. TRUMP kakaa jukwaani, hakuna mbwembwe. Jennifer Hudson na Maria Becerra wameimba nyimbo za taifa, wakaondoka zao. Sasa rudi huku kwetu uswahilini lazima wamshukuru mtawala; hivi huu ‘uchawa’ wa kusifia watawala kila sekunde tumeurithi wapi? Ulaya na Marekani wamefanya sekta ya burudani na michezo kuwa biashara inayojitegemea (pure entertainment business). Subiri AFCON 2027. mabango ya ‘mama amewezesha’ au ‘mama amefanikisha’ yatajaa barabarani hadi sebuleni. Utasikia “Hamtaki show kama hii ifanyike kwenye arena?”
@IAMartin_ Fikiria ambavyo mabango ya mgombea Urais wa mbogamboga mabango yake yalivyoenea katika mitaa hata baada ya uchaguzi kumalizika miezi nane iliyopita..
Unaangalia fainali ya Kombe la Dunia 2026: Perfomance za maana kutoka kwa Post Malone, iShowSpeed, Madonna, Shakira, Burna Boy, BTS, Justine Bieber, Gustavo Dudamel, ColdPlay hadi Tom Cruise (special guest). Hakuna picha ya mwanasiasa, wala hakuna mtu anayemlamba miguu mtawala au Serikali. TRUMP kakaa jukwaani, hakuna mbwembwe. Jennifer Hudson na Maria Becerra wameimba nyimbo za taifa, wakaondoka zao. Sasa rudi huku kwetu uswahilini lazima wamshukuru mtawala; hivi huu ‘uchawa’ wa kusifia watawala kila sekunde tumeurithi wapi? Ulaya na Marekani wamefanya sekta ya burudani na michezo kuwa biashara inayojitegemea (pure entertainment business). Subiri AFCON 2027. mabango ya ‘mama amewezesha’ au ‘mama amefanikisha’ yatajaa barabarani hadi sebuleni. Utasikia “Hamtaki show kama hii ifanyike kwenye arena?”
Hata siyo tatizo. Katiba yao inawaruhusu.
Hiyo ni mila ya Kimarekani, ya kutumikia kwa muda muda uliosalia wa muhula wa ndugu yako aliyefariki, hasa wakati uchaguzi ukiwa karibu; muhula wa marehemu kaka yake unaisha Januari 2027.
Julai 2027, Seneta wa South Carolina, Lindsey Graham, alifariki ghafla akiwa na umri wa miaka 71. Gavana wa jimbo hilo, Henry McMaster, alimteua dada yake mdogo, Darline Graham (Nordone),
Aliteuliwa kujaza nafasi kwa muda hadi muhula utakapoisha Januari 2027. Uchaguzi utafanyika kuchagua Seneta mpya wa kudumu atakayeanza muhula kamili wa miaka 6 kuanzia Januari 2027.
Marekani, kuna utaratibu wa kisheria na wa kimila unaoruhusu ndugu wa karibu (mara nyingi wajane au ndugu wa damu) kuteuliwa au kuchaguliwa kuchukua nafasi ya kiongozi aliyefariki akiwa madarakani.
Katiba ya USA, pale kiti cha Seneti kinapobaki wazi kutokana na kifo au kujiuzulu, Sheria za Majimbo mengi (ikiwemo jimbo la South Carolina) zinamruhusu Gavana kuteua mtu wa kujaza nafasi
Mtu huyu huteuliwa kama mshika nafasi wa muda (placeholder) hadi hapo uchaguzi mdogo au uchaguzi mkuu utakapofanyika. Mamlaka ya kikatiba aliyopewa gavana (Gubernatorial Appointment)
Kama mnataka hivyo, tuweke kwenye katiba, UTAWALA WA MAJIMBO ambao tumeupendekeza wakati wote. Gavana anakuwa na mamlaka. Tunapunguza mamlaka ya Rais. NAMNA GANI?
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁
Watoto kama hao ni wa kupuuza tu. Ni wapumbavu ambao walitaka kuona unachukia baada ya uchaguzi unaondoka/kuhama. Umewashangaza kwa kuendelea kubaki loyal kwa chama. Endelea kupiga kazi. Achana na hao wasimbe kaka.
Siku hizi nimekuwa mtu mzima sana, napuuza sana mijadala ya kipumbavu kama hii. Haina tija. Hata wewe ningeweza kusoma na kukupuuza tu.
Hivi kiumbe kama wewe, unakuwa unafanya hivi kutafuta engagements au kuna sehemu kweli unanichukia tu halafu huelewi kama unanichukia?
Yaani wewe unawezaje kutilia shaka uanachama wangu ndani ya CHADEMA? Mimi ambaye nafanya shughuli za chama tena hadi porini kabisa?
Wewe umewahi mahakamani hata mara moja kesi ya TAL? Unawezaje kutilia shaka uanachama wangu ambaye nimehudhuria mahakamani siku zote?
Mfano, katika jambo hili ningeweza kusema John Heche awajibike kupisha uchunguzi, ungenifanya nini? Kuna sehemu ungekuja uniguse shati?
Nimetoka wazi nimesema Tundu Lissu na John Heche wamechaguliwa na mkutano mkuu wa CHADEMA na hakuna binadamu anayeweza kuwaondoa ofisini
Umekuja kujichekesha kisimbe. Hivi kuna wapumbavu hamjaondoka kwenye mode ya uchaguzi ndani ya chama hata baada ya siku 535 kupita?
Acha kunirudisha kwenye upuuzi wenu.

Wapelekeeni moto zaidi na milio iwe mingi. Hayo majitu ya CCM ndiyo yenye sifa zote mbaya. Sisi wanaachi tunawaamini sana CHADEMA. Wao washughulike na ripoti za CAG. Washenzi.
CHADEMA iko imara zaidi sasa! Msiyumbishwe. Adui yetu mkuu anajulikana. Ni dola dhalimu na katili ya CCM inayofanya kila njia kutudhoofisha. Kuwa kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ni msimamo wa kijasiri na utayari wa kupambana kulinda ustawi wa chama chetu. Kusimama imara ndiyo silaha yetu. #PeoplesPower
@IAMartin_ Kaka, umeamua kuvaa suti kabisa wakati unqzungumza na Taifa. Safi sana. Umefanya vizuri kueleza. Wahuni hawa wa mbogamboga na mashoga zao wanafikiri tunaweza kutoka kwenye reli. Wapumbavu sana.
CHADEMA iko imara zaidi sasa! Msiyumbishwe. Adui yetu mkuu anajulikana. Ni dola dhalimu na katili ya CCM inayofanya kila njia kutudhoofisha. Kuwa kiongozi au mwanachama wa CHADEMA ni msimamo wa kijasiri na utayari wa kupambana kulinda ustawi wa chama chetu. Kusimama imara ndiyo silaha yetu. #PeoplesPower
Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utam ulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati.
@PeterDafi@IAMartin_ Walalahoi wenyewe ndiyo wameamua kuchangia pesa zao na hakuna sehemu wanAlalamika. Kwanini nyie wahuni wa mbogamboga ndiyo mnalalamika na kutoa milio?
@HeryMbilinyi@IAMartin_ Sasa unavyosema mkutano mkuu kuruhusu hoja unafikiri mkutano wa CHADEMA unakutana kama wapumbavu wa mbogamboga ambao wanatumia pesa za serikali kuendesha shughuli za chama? Acha upumbavu wewe ng'ombe wa Januari
@HeryMbilinyi@IAMartin_ Wasenge kama nyie ndiyo amesema mmelewa visungura. Unajua hata mkutano mkuu wa chama chao unakutana mara ngapi kwa miaka mitano? Endelea ku'posti habari za Januari Makamba tu. Pumbavu
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.