Usiposimama vizuri kila mtu Atakusukuma, Usipotafuta cha kwako mtu yoyote anaweza Kukunyanyasa, Usipoonesha Unajiheshimu Utavutia kila Aina ya Waharibifu na Watakuaribu.
"Kalamu Unayo, Jiandikie Barua Nzuri ya Maisha!"
#MselaSafi
Brazil wanacheza kama kikundi cha masela waliokutana stendi na kuamua kwenda kutwanga tu kishikaji.
Timu haina chemistry, wamechoka mapema sana.
Zile beki za pembeni zote mbili hazistahili hata kukaa benchi kwenye kikosi cha Brazil,
#16
Wanangu kama kuna sehemu yoyote ile nimewahi kujinasibisha na zile timu za Kariakoo, nikiri wazi kwamba sikuwa sahihi na nilikosea sana.
Kuanzia leo nakuendelea huko, sina ushkaji, usela wala undugu na timu hizo.🙏🏾
Msela Safi👍🏾
Tenda wema, kumbukumbu muachie Mungu, kwa sababu binadamu husahau.
Wasaidie ndugu zako kwa uwezo ulionao sio kwa wingi wa shida zao.
Uliposhindwa kwenda mchana, usipende usiku!
#Mwenyeji