My brother ✊🏽🔥 @HecheJohn
Hii ndo ilikuwa hotuba bora ya leo katika msiba! Full stop! Hakikisha unaisambaza ktk magroup yako yote ewe mtanzania!
Bila kupindisha Heche ameeleza kwa nini @ChademaTZ2 ni chama kikuu Tanzania
CCM si chama imebaki dola!
DNA aliyowaachia muasisi wenu Mzee Mtei idumu 💪🏽
Kweli wanaCHADEMA mlitusaidia kama Taifa pa kubwa January 2025 na kuiweka chama katika mikono salama ya uongozi!
History has been written!
Pumzika kwa amani Mzee Mtei tunakushukuru kwa uongozi wako!
Mh.JOHN HECHE NI MTU MWEMA NA MPIGANIA HAKI WA KWELI.
Ndugu Watanganyika Msidanganyike. Nimefanya kazi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John W.Heche kuelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 haswa baada ya kupata habari kwamba CHADEMA ndiyo wanaokwamisha Mazungumzo.
Nilibaini ni mtu mwema sana,anauependa mazungumzo yenye nia njemav na CHADEMA ilishiriki kwa Ukamilifu.
Tuliweza kukutana pande zote ikiwemo ACT,CUF pia na Madhehebu ya Dini kama CCT, TEC, BWAKWATA,Shura ya Maimamu,TAMWA,TAWLA THRDC na Watu Mashuhuri.
Kumbukeni hata kushambuliwa kwa Dr Charles Kitima alishambuliwa akiwa kwenye jukumu kubwa hili la kutafuta suluhisho na kushambuliwa kwake hakuwezi kutengwa na nia ya ukwamishaji hatua za pamoja zilizokiwa zikiendelea.
Muda wote CCM ndiyo walikataa mialiko na hata tulipotumia gharama kubwa sana kutuma wajumbe na kuongeza muda ili tuweza kuwaaccimodate muda zaidi kukutana nao walikataa.
Lengo letu lilikuwa jema kabisa kuliepusha Taifa na vurugu zile za uchaguzi kwani utafiti wetu ulionesha nchi imevimba.
Kwakushirikiana na THRDC tuliomba pia kukutana na Tume ya Uchaguzi nayo ilikataa kwa kisingizio cha kutokuwa na muda .
Kama kuna mtu asiyependa Haki Ukweli na Uwajibikaji ni CCM na vyombo vyake ambata .Huyu hapendi kuzungumza kwa kuheshimu wengine akija kwenye mazungumzo mara nyingi huwa ni kwa hila au mpango wa kukwamisha mbeleni rejeeni kutekwa na kuharibiwa kwa mchakayo wa Marekebisho ya Katiba na kuibuliwa kwa Katiba pendekezwa.
HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI VITALINUSURU TAIFA.
BAK MWABUKUSI.
Mzee Joseph Sinde Warioba, mtu ambaye amekuwa AG, PM, VP wa Serikali ya Tanzania anasema watanzania waliouwawa siku na baada ya uchaguzi ni wengi kuliko watanzania waliouwawa na adui vita vya Kagera. Mnataka tumpuuze PM na VP mstaafu, tumsikilize mchungaji Mashimo? Mmerogwa nyie?
📍Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka
Hii ni Mwanza, Baadaye mje kuanza kusema waandamanaji walikuwa wanafanya fujo.
Kuna mtu huwa anasema wananchi hawana hoja, mara wametoka nje ya nchi. Hii ni Tanzania na hawa ni Gen Z. #D9
Wewe mtu kachaguliwa na Somalia na Burundi na Mashekhe ubwbawa, unadhani atakuwa na akili ya kuwaza kwamba kafanya kosa?
Sambazeni Ujumbe Watanzania wote tuungane tarehe 9 Disemba. Hata ndani ya CCM hatumtaki huyu Jezabeli. Ana uwezo mdogo sana. #SamiaMustGo
@NkundaAfurika@SGahamanyi What you mean serious issues?
Brother we are talking about somebody's life here and not dog!!
You better keep your mouth shut
Rather than mocking 🙂↔️
Tutasimamia Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT.
Kwamba👇
a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi.
(b) Lengo kuu la Serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.
(c) Serikali itawajibika kwa wananchi.
Aluta continua.
@NkundaAfurika@SGahamanyi How about those killed a thousands of Tanzanians?
What's about those whose been disappeared for almost a two years and more!!
"Tunataka hatua za haraka zichukuliwe kuepusha nchi hii kuingia kwenye matatizo;
1. Waliouwa watu wachukuliwe hatua.
2. Walioagiza watu kupigwa risaisi wachukuliwe hatua.
3. Kesi za kisiasa ziondolewe.
Hakuna taifa la nje limechochea, nyie ndio mmechochea hayo." Mhe. @HecheJohn
Kama wanasiasa wa ccm ndio wanaagiza makanisa kufunguliwa, watu watafutwe na kumatwa au wasitafutwe, watu wabambikiziwe kesi mbaya au waaachiwe huru.
Nani anaweza kusema tuna vyombo vya dola vyenye ueledi na vinavyofanya kazi kwa uhuru na bila upendeleo.
Huyu anaeagiza hivi akiagiza Heche akamatwe na kupotezwa nani atamkatalia.
Hapa tulipo unaweza kukosana nae kwa mambo binafsi akaagiza upewe Ugaidi au uhaini.
Shame on you.