Izi sera zangu kuziamini zinahitaji imani.
Na Mungu kumuumba Kairo alijua ubavu wake utakua Cera imani.
Miguu ni ya kusimama khalif akaletwa tuitembeze na magari.
Cera ndio mwanamke mwenye mwili ambae kichwa chake ndio kichwa cha habari. @KhalifKairo
๐
Mapokezi ya #EMOJI_LOVE mashabiki zangu mpaka sasa mumeniacha nikijiuliza maswali mengi tu na ni kwasababu sikutarajia kama mungeweza kuipokea vizuri kiasi hichi....Mumenionesha upendo na kujali kazi zangu kwaโฆ https://t.co/LzMz82smQJ
Earlier today interview at msenangufm with @sis_shanniez ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ.....siku yangu leo iliniendea vizuri sana kwa jinsi mashabiki zangu mulivyomimina maswali juu ya kigoma chetu #EMOJI_LOVE na kutaka kuifahamu safari yaโฆ https://t.co/PlmwRSuXF5
Tune In Right Now ... Niko live msenangufm 99.5 fm .na @sis_shanniez . Tunaanza kutambulisha kigoma Chetu Emoji love Kwa Media zote Nchini. https://t.co/QPp1G8qOx3
Nilisema Balaa linakuja....Linakufa jituโ ๐muda wa kuitana umewadia mwuite!! mwuite!! Mwambie awashe data๐คณ๐พ yake na awaambie na wenzake..tupo tayari kwa hili??? Kesho nitegee ndani ya @pwanifm
kbc_televisionโฆ https://t.co/tFGAjzIRQY