@TanzaniaLeaks Kwani hii nchi ipo na chama kimoja tu cha upinzani mtazamo wangu nataka kuona watu wakitoa sera namna ya kutukwamua vijana kiuchumi na kuipeleka nchi katika nchi ya ahadi atuvushe bahari sisi tupo tayari kupiga kura kuchagua kiongozi bora sio bora kiongozi