@nikkwapili Asante kwa tanzia nzuri. kweli ataendelea kuishi miyoyoni mwa watu wengi. Hii sentensi imekua ikijirudia akilini mwangu "kukimbia maumivu ya mchakato wa lazima." Rest Well Ruge.
Wanafunzi waliohitimu darasa la 12 (Kidato cha Sita) katika jiji la Hawassa nchini Ethiopia, wakivua sare zao za shule ili zikatolewe misaada kwa wanafunzi wasio na uwezo wa kununua sare. ๐ท @TimotiosBM