Tunatoka kwenye familia za kawaida, nyumba za kinyonge, na miji midogo yenye hadithi za huzuni. Hatupambani ili kuvutia au kushindana na mtu yeyote, tunataka tu kubadilisha hadithi na kupigana vita ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kushinda. πͺπ
@elonmusk just dropped a meme mocking @BillGates 'dad bod' on X, and it vanished faster than my Wi-Fi signal! π Now he's bought X for $44B, talk about commitment to the meme game! #FreeSpeech#MemeLordMusk
Kama Dangote anaweza kuchukua chupa mbili za maji kwenye sherehe na kuficha moja. Mimi ni nani nisichukue sahani nne za wali, nikala mbili na kubeba mbili nyumbaniβ πππ