Bayern Munich imekuwa timu ya kwanza kufunga magoli 8 UEFA hatua ya mtoano na tumeshuhudia kipigo kikubwa zaidi cha Barcelana kuwahi tokea kwenye UEFA.Pia kwa mara ya kwanza tangu 2005 ya kwanza nusu fainali ya UEFA bila timu zenye Messi na Ronaldo.Kocha wa Bayern ana siri nzito