@joharimshana Alijua gari yake ataikuta Mbweni police kwasababu aliambiwa na RCO wa Pwani kny simu pale Mapinga police kupitia kwa Afande Amina kuwa aende Mbweni atalikuta gari lake
@tanah_28 Kwa Mkapa Kikwete alipendwa "by default" kwa sababu alikuwa mshindani wake kny chama na alitakiwa aandaliwe kuwa mrithi wake, last born wa Mkapa alikuwa Magufuli. Awamu ya Kikwete uki sahihi ila awamu za Magufuli na Samia last born hatabiriki...ni yeyote atayekuwa CHAWA PROMAX.
@Fefe_doll Huweki wimbo kwa kuwafurahisha wengine bali huweka kwa furaha yao wenyewe..ndo maana utakuta mtu kaweka wa dini. Mim huwa naweka wimbo wenye nnaupenda au unaonikumbusha kitu flan kihisia. SIO USHAMBA