@mangekimambi@godbless_lema Maana sitaki kuamini kama kwa kuwa viongozi wa CCM ilionekana wamekosa uzalendo wa kuwapa pole wa Tanganyika Oct 10 haimanishi kwamba ukiwa mtu anaepambania haki ,Amani na tanzania yenye umoja na upendo utashindwa kuwapa pole viongozi wa CCM eti kisa na wao hawakufanya
@mangekimambi@godbless_lema Sitaki kuamini kama jitihada zote Da @Mange kimambi unazotumia kuonyesha kulipambania taifa na sisi tukiku support kama mzalendo kama ni kwa ajili ya kulipiza kisasi,na kama lengo litakua kulipa kisasi basi hata upinzani utakapo chukua madaraka matatizo yatakua ni Yale Yale.