Unaposikia maneno ya jumla kama vijana, wasichana, wajasiriamali, wakulima nk, kumbuka kila mtu ndani ya hayo makundi ni tofauti na mwingine ndio maana mikopo mingi ya kusaidia vikundi imeshindwa kurudi. Ni rahisi kua na ndoto yako ila kua na ndoto ya kikundi ni changamoto