@bigi047 Kama mtoaji mwenyewe alishasema ntampa zawadi sasa leo ametoa sasa ahumie na nini tena....acha chuki Bro tuna safari ndefu ya kufanikiwa sana katika maisha....ndo nyie mtu akinunua gari mtaani mnaaza kulikosoa...
@ortamisemitz Kwa ufup mi ni muhanga wa hilo suala...nmeandika barua zaid ya mara tatu..katika halmashuri nliyopo hakuna majibu ya sawa...areas anzia2019 mpaka leo na kinachoumiza zaidi mwenzako aliyepanda naye daraja ameshalipwa mpaka inafikia hatua unakuwa na mawazo hasi kana kwamba mwenzako
@AliKamwe Mi ni shabiki wa Yanga muda sana hadi kadi ya chama ninayo ila mdogo wang jifunze kubakisha maneno hata kama ukiwa msemaji wa clab.... mdogo uliponza kichwa.... Kwa leo ni hayo tu
@Ms__Celine Sister...mwenyezi Mungu akubariki sana kuna kitu unasaidia jamii kupitia mitandao japo najua hata wewe kuna changamoto unazipia kwenye kazi yako naomba kusema tena Mungu akubariki sana
@Ms__Celine Kuna habari ulituma maana nlishwa kukutaftaDM....ila ni hivi.... Msaada tutani.. Mpenzi wang kila akitoka kukwechi....anasema zile sperm zinazo baki...akikaa siku tatu mbele zinatoka je tatizo ni nini.... msaada 🙏🙏