@SavaJanjaro_ Maisha magumu ndo ufanye watu kuwa wezi na kukosekana kwa usalama ktk maeneo ambazo biashara zinafanyika na hata katika vyombo vya usafiri.
@bajabiri Waache Africa wajitegemee hata kama wanakufa kwa njaa ndo watapata akili ya kujikwamua wenyewe sio misaada ambayo kwanza mmeiba madini Africa.
@MsigwaGerson Kabla ujatoa kauli kama hii nahisi ungefanya utafiti ukitumia mtu wa kwanza kutoa taarifa kama chanzo ili kupata taarifa kama kama ni kweli au si kweli aseme alikuwa na kusudi gani kutoa taarifa mitandaoni.
Sheria hipo tatizo tunasema sana kuliko kutenda sana hii ndo Tanzania.
@AzaelMmbaga Kwanza jichukulie kuwa wewe ni mdhaifu na mwenye makosa kuliko yule aliyekukwanza, wakati umekwaza jione we ndo chanzo cha kikwazo, omba msamaa hata kama ujakosea chukua kila kitu kwako ni shule utaishi bila kuwa na stress kabisa.
Ili kufanikiwa ktk democracy ya nchi shugulikia kwanza uchumi na usalama wa nchi.
Hakuna mtu atawaza kuuwa democracy kama uchumi na usalama wa nchi uko imara.
@hashmariner@OleMtetezi Katika kazi kuheshimu muda ni sababu kubwa ya kufanya kazi vizuri na kwa uhakika coz kila kitu kinatakiwa kifanywe kwa wkt husika hiyo ni 1 ya ethics kwa mfanyakazi yeyote.
Chanzo chetu kufeli kudharau dk 1 kuwa haina thamani ktk ufanisi wa kazi ila kujali muda ni mafanikio.
@ZamaMpya_ @SuluhuSamia Watanzania shida tunayokubwa sana kwa maana tumeshindwa kujua chanzo cha matatizo tunabaki kumlaumu mtu.
Mfumo wetu ndo ulivyo maana unapoongelea sheria iliyotungwa na mkoloni chini ya katiba iliyoandikwa na mkoloni kwa matakwa yake bado hauna chakusema tafakari chukua hatua.
@zittokabwe@MsigwaGerson Kwanza pambanane ili Tz tuweze kupata uhuru ndo tunaweza kuweka mambo yetu Sawa.
Wewe ni kiongozi ambaye amekaa muda sana serikalini unajua Tz sio nchi huru lkn hata siku 1 hamwezi kuzungumzia ni kulumbana tu wkt nyie ni wa1 hapana hatuwezi fika.
@HusseinBashe Ili tupate hayo unayohisi yanawezekana angalia tukiwa kwenye precondition to take off stage mambo gani yanatakiwa kufanyika mkuu.
Boresha pembejeo za kilimo, na masoko km bado ujamtengenezea mkulima mahali pakuuza mazao yake na wepesi wa kupata vifaa vya kazi unahisi urahisi upo