Dibaji za Babu Kalume K- Wallah Bin Wallah:
1. Kuvuka mto, si mwisho wa safari.
2. Mtu hajulikani bila matendo.
3. Sauti za wanyonge wengi husikika mbali.
4. Ukiwa una njaa, usipige kelele.
5. Ndoto yako ya jana, timiza leo.
6. Tenda waone.
#BahariYaElimu#HapaNdipo
@Radio47_Kenya Ya kwanza nzuri zaidi.Sawasawa na daraja lililokuvusha usilidharau kamwe..... Ninakifuatilia kipindi kizuri hiki nikiwa Etago South Mugirango Kisii county ๐
@RadioCitizenFM@odhiamboabwao@fredomachoka Kama kawaida kutoka ETAGO KISII COUNTY South MUGIRANGO ndani Hadi mwisho nikiwa na
KAMAU TAI
JAMES OMBOGO
MWALIMU KEFFAHSON BOSIRE
STANLEY MATOKE
NA KERANDI DENNIS ๐๐ ROGAROGA NI MAMBO YOOTEE