KWA-MKAPA INAWEZEKANA
Comeback ipo Kwa-Mkapa tena nyeupe kama tissue, ule mchecheto wa dakika 20 za mwanzo na Mpanzu leo kakojoa kitandani pia, halafu Mpanzu tangu nusu fainali ya pili pale SAUZI sio yuuuulee. Kombe hili litabaki TANZANIA 🇹🇿
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma akiongea na wachezaji baada ya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane. #WenyeNchi#NguvuMoja
𝐑𝐄𝐕𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃. 🚨👀
A high-powered delegation of over 300 people from Europe and beyond have booked their flights and made hotel reservations to fly to Dar es Salaam to attend the 2nd leg of the 2024/25 Confederation Cup final between Simba SC and RS Berkane at the Benjamin Mkapa Stadium.
These are people who decided to go for the game because of their love for Simba SC and President Mo Dewji.
Mo Dewji is very disappointed. ☹️
#nguvumoja 🦁
#cafccwithmicky
Berkane njooni tumalizane kwa Mkapa. Hilo kombe tunalihitaji mnoo na tunajiandaa kufanya Parade ya kulizungusha kwenye nchi zote za Afrika Mashariki na Kati.
🚨🇹🇿 𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄:
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar.
He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is played in Dar es Salaam.
If the game is played in Zanzibar, Mo will not attend — I have such feeling. ☹️
#cafccwithmicky
#totalenergiescafcc
#nguvumoja
Taarifa rasmi kuhusu uwanja wa mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itatolewa baada ya mchezo wa awali utakaochezwa Jumamosi Mei 17, 2025. #WenyeNchi#NguvuMoja