@avohcuddle A wiseman once told me "mpumbavu" na "mwerevu" wote hawawezi jificha, ila the former (akawa anasikitika huku anatingisha kichwa), kupitia huyu mwamba nimeelewa.
@Nevada_255@counselordvd@Neyzer_255@AsajileF Kaka mimi namkataa shetani na kazi zake zote, na matendo yake yote, na mambo yake yote, nimemkubali Yesu Kristo, kuwa bwana na Mwokozi wa maisha yangu, sasa hivi nasubiri tu kurudi kwake Bwana, tukamlaki mawinguni.