ANSAF is a member-led forum working towards finding solutions to improve the agriculture sector in the interest of men and women currently living in poverty.
Pia Dira 2050 imejikita katika uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za asili, ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi pamoja na kujenga jamii yenye umahiri na ujuzi wa kutumia teknolojia za kidijitali katika kuchochea ubunifu na kuongeza ushindani kimataifa.
Baadhi ya wanachama na Sekretarieti ya ANSAF wameshiriki katika hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika katika Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.
Hafla hii pia ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali, taasisi za umma, asasi za kiraia na wadau wa maendeleo.
Dira ya Maendeleo 2050 imejikita katika uchumi, maisha bora na ustawi kwa watu wote.
Leo Sekretarieti ya ANSAF imepokea ugeni kutoka @AGRA Tanzania na Makao Makuu Kenya ambapo walijadili maeneo muhimu ya ushirikiano katika kuchochea mageuzi ya kilimo na mifumo ya chakula.
🟢Kutopunguza/Kuendelea kutoza ada ya uingizaji wa samaki wenye mapezi(fin fish)kwa kiwango cha USD 2.5 kwa kila kilogramu
🟢Kutokutoza ushuru kwenye crips, ice cream,soseji na bidhaa za aina hii zinazozalishwa ndani ya nchi ili kuchochea uongezaji thamani na ukuaji wa viwanda
This year’s theme,“Two Days.Local Experts. Global Impact.highlights the vital contributions of local knowledge to transforming food systems globally.The event will showcase successful models,innovations,insights from across AMEA’s global network,including voices and experiences
Dear AMEA Tanzania Members and Partners,
We are delighted to invite you to the AMEA 2025 Annual Learning Event, a two-day virtual convening taking place on 24th and 25th June 2025, from 14:00–16:30 CEST.
🔗 Register here: https://t.co/ugx56juReU
WAKORU walipata fursa ya kuonesha bidhaa zao na juhudi za kuongeza thamani zao la korosho, kupanua mahusiano ya kimasoko, ushirikiano na kujifunza kutoka kwa wadau wa sekta mbalimbali.
Kupitia Mradi wa CASHWIN, ANSAF ikishiriana na Bodi ya Korosho, imewezesha ushiriki wa Umoja wa Wabanguaji wa Korosho wilayani Ruangwa (WAKORU) kwenye Maonesho ya Madini, yaliyofanyika tarehe 11 hadi 14 Juni 2025 Ruangwa, Lindi.
Agriculture Sector Budget Analysis
Wednesday, 18 Jun · 10:00 – 11:00
Google Meet joining info
Video call link: https://t.co/ng9puCimDY
This is a great opportunity for stakeholders,policy makers, researchers,youth,and development partners to engage in evidence-based dialogues.
Join us for an insightful session on Agriculture Sector Budget Analysis, where we’ll unpack key budget priorities, gaps, and opportunities for advocacy and investment in Tanzania’s agriculture sector.
Mradi hii wa #RaiaMakini unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya na kutekelezwa na Policy Forum na Wajibu, wakishirikiana na wadau wengine una lengo la kuchochea uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa fedha za umma.
ANSAF inashiriki katika kikao kazi cha wadau wa uwajibikaji kilichoandaliwa na Policy Forum jijini Dodoma. Kikao hiki kimehusisha uzinduzi wa Mradi wa Kuwawezesha Wananchi kwaajili ya Kuimarisha Usimamizi wa Fedha za Umma na Ukuaji Endelevu wa Tanzania #RaiaMakini
Katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 15 tangu kusajiliwa kwake, ANSAF imezindua Ripoti ya Miaka 15 ya Mafanikio ikiangazia utendaji wa Jukwaa katika ushawishi wa sera, bajeti ya serikali na uwezekaji wa umma katika sekta ya kilimo.