@TanzaniaOneJezi Licha ya yote nani kashawahi kuwaomba hela ya kula?? Wao kama ni matajiri cool, watu wanataka huduma bora, haki, usawa na amani, tutaendesha Rolls Royce wote?? Ni lazima mtu uwe na maghorofa ndo uishi vizuri?? Watu wanamaisha magumu afu unawaita wavivu?
@Waeastzoo @Brother_0101 Wanaume sometime tunateteana usenge, hivi kipindi anamfata uyo dada ilo tumbo hakuliona?? Kwanini asiwafte wenye flat tummy moja kwa moja? Sisi wakituambia hawataki wanaume mafukara tunakua mbogo๐
@Brother_0101 Lakini kuna vitu ni upuuzi, kwani kipindi unaanza kudate nae alikua na tumbo gani?? Kama unaona hafikii vigezo vyako si utafute mtu mwingine?
@theDjole@DeadlineDayLive@Somhiseremfcb Let's stop arguing like women, let the kid have a good time, they are women let them be, and let's continue being men, its just how the world works and these little tweets won't change nothing.
@Sirjeff_D Kitu chako private unawaletea watu ambao kiuhalisia hilo jambo lako halimsaidii mtu yoyote na lastly pia, uo ushuhuda unautoa kwaajili ya praise ya nani Mungu au kujipraise wewe mwenyewe, most of us tunajipraise wenyewe na sio Mungu. Kwaio context ina matter sana.
@Sirjeff_D Context ina matter Jeff, wengi wanatoa ushuhuda ili wabrag ofcourse, lakini kuna ile myu ulikua unaumwa labda na kila mtu kabisani anajua ulikua msick, kutoa ushuhuda kabisani ni vizuri coz pia inaongeza imani kwa mtu mwenye tatizo kama lako. Mimi nisiyopenda ni ile...