@Sativa255 Wakumuuliza ni Dada etu mpendwa @Dr_DGwajima kama anaonaga hizo video coz yeye ni mdau wetu humu.
Kuona porno humu X ni maamuzi yako ukitaka unaona usipotaka huoni.
Binafsi kwangu mm sioni wala sikutani na hizo page, Waziri atakua alifollow account No way uzione kwa bahati mbaya.