@KennedyMmari Ni kwamba hatuwezi kutoboa kwa kujifanya tunaweza peke yetu. Mfano mradi wa LNG Tanzania unahitaji mtaji wa USD 40B ambayo ni karibia Tsh 90 T. Tell me tutatoa wapi hizo hela. Either tubaki na undeveloped resources huku tukijivuna sisi ni matariji au tufanye partneship za faida.
@KennedyMmari@Uchumi360 Hata tukikamilisha mtandao wa reli tutabaki na shida ya kukosa ufanisi kwenye uendeshaji. Kama Mwendokasi inatushinda kuendesha na reli pia itatushinda.
@AliceTalksFooty If you think that this board would spend 40m for a player whose contract is 1 years from expiring just to sit him on the bench, then you are delusional. They actually consider him as Casemiro's replacement.
@HabiibYahyaa Jamaa ni mataahira.Kama upo unakusanya silaha kwa ajili ya kuja kumuangamiza adui yako haupaswi kupita mitaani unatangaza, ukiwa na akili utajipanga kimya kimya adui anakuja kushangaa ghafra amepigwa na kitu kizito.
@hancymachemba Umeme ukisafirishwa kwa umbali mrefu unapotea mwingi na unakuwa unstable ( unakata kata). Kiuhalisia mikoa ya kanda ya ziwa na magharibi haipaswi kutumia umeme unaozalishwa mikoa ya Dar, Pwani na Morogoro sababu ya umbali. Kusema watauza nje umeme wa JNHPP ulikuwa ni utapeli.