“'For I know the plans I have for you,' declares the Lord, 'plans to prosper you and not to harm you, plans to give you a hope and a future. '” — Jeremiah 29:11.
Maria tumekushtukia😂
Unajifanya video ya Heche ni ya uongo kumbe unataka kuiona
Acha kuzunguka bhana weee Heche ni mwizi na ukiona ile video sijui hata kama utakubali awe karibu yako
Bisha ubishavyo lakini uongozi wa chadema umeoza🤮
"Watoto wangu wanatembea kwa uhuru Tanzania. Wanajulikana kwa majina yao dukani. Wanakumbatiwa na majirani, shangazi, wajomba, na hata na "wageni" wanaoamini kuwa kulea watoto ni jukumu la jamii nzima."
Hayo ni maneno ya Ashley Cleveland ambaye aliona sio salama kulea watoto wake nchini Marekani hivyo akaamua kuja Tanzania kwa sababu ni sehemu salama na nzuri kwa makuzi ya watoto.
Taratibu tutaelewa.
Huyu ndiye anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu Nuruvazi
Anajifanya anatetea haki za watanzania kumbe anatetea mashoga wenzake. Si mnakumbuka zile hela alizopewa Maria kutoka Ford? dhumuni lake lilikua kutetea mashoga
Sasa kama nyie mnawaona ni watu wema basi leo ukweli ndio huo.
Nuruvazi anawaita Watanzania waoga wakati yeye mwenyewe kakimbia😂😂😂
Anataka watanzania waandamane wakati yeye na familia yake yote hatuwaoni kwenye maandamano eti uzalendo huo uzalendo gani?
😂😂😂
Sikuzote mnafiki na mzushi hawezi kuvumilia kukosolewa.
Ndiyo maana mara nyingi hukimbia maoni na mijadala yenye hoja, kwa sababu uzushi na propaganda havidumu mbele ya ukweli na ushahidi.
Ila kuna vitu vinachekesha sana😂
Wafuasi wa chadema wanasema mkali wa sheria ila hapohapo wanaomba mahakama imuachie
Sasa yeye kama mkali si muacheni ashindane na hiyo sheria tuone ukali wake😂
Huruma sio malezi, acha sheria ifate mkondo wake😎
Chadema wanasema Watanzania wanamaisha magumu sana yaliyosababishwa na CCM
Lakini cha kushangaza ni kwamba chadema haohao wanaomba hela kwa watanzania ambao wamesema wanamaisha magumu😂
Chadema haohao wanasema serikali haina hela imeyumba kiuchumi lakini ni chadema haohao wanasema wanataka serikali iwape hela za ruzuku
Hivi viongozi wa hiki chama wazima kweli?