Sauli alijaribu mara kadhaa kumwangamiza Daudi lakini juhudi zake hazikuwa zinafaulu. Tazama vile Mungu alitumia Yonathani kutoboa njama za babake na kumwepusha Daudi, naye Mikali mkewe Daudi akamsaidia kutoroka. @EvahMwalili@Milele_FM#milelegospelsunday