Mkazo zaidi ikiwa ni kwenye kumjengea udhibiti katika Character competence, moral values na resilience
23 - 27 June 2025: Age 13 - 18
TIME: 8.30am - 3pm
VENUE: MSASANI BEACH CLUB
FEE: 120,000 For refreshments, workshop materials and lunch.
INFO : 0656331882 Aunt Sadaka
MIDDLE ADOLESCENCE
15 - 19 years
Uelewa wa kijana katika kutafuta IDENTITY na BALANCEya mabadiliko ya ukuaji wa kimwili, kiakili, hisia na kijamii ni muhimu sana.
WHEN: 27 - 31 January 2025
TIME: 9am - 2.30 pm
VENUE: Msasani Beach Club
FEE: 100,000
0656331882 Aunt Sadaka
MIDDLE ADOLESCENCE
15 - 19 years, wamemaliza form four na kuingia ujana wa kati, pale wanapoanza kuamini wao ni watu wazima sasa.
Mlete mwanao aongee na Bibi Sadaka
27 - 31 January 2025
TIME: 9am - 2.30 pm
VENUE: Msasani Beach Club
FEE: 100,000
INFO: 0656331882 Aunt Sadaka
TEENAGERS ACTIVITIES
Kwa vijana wa miaka 13 - 19. Ni kipindi cha kujenga misingi ya UWEZO, KUSUDI la maisha na UAMINIFU.
wanatafuta IDENTITY yao na thamani yao kama binadamu na nafasi yao ya majukumu katika jamii.
6 - 10 January 2025
INFO: 0676787882
Naomba nikukumbushe kuhusu event yetu. Ni Jumamosi tarehe 7 Dec 2024. Tumebakiwa na siku tu 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️ sijakusikia 🤭🤭🤭🤭
Fanya malipo kwenye:
1.+255656331882 Jina Sadaka Gandi (TIGO)
Au lipa namba Thinline communication
TIGOPESA: 22900450
M-PESA
57977377
EMOTIONAL HEALING JOURNEY!!
Ni kuhusu Self-love na mental health awarenesss.
VENUE: JNICC
DATE: Jumamosi 7 December 2024
TIME: kuanzia saa tatu asubuhi.
FEE: Kiingilio shs 100,000
More info: 0656331882 Aunt Sadaka
Tunakutana ili kuangalia Emotional Healing. Hii siku tutaigawanya katika blcks kubwa tatu zikisimamiwa na wataalamu mahiri.
Tukutane JNICC
Jumamosi 7 December 2024
kuanzia saa tatu asubuhi.
Kiingilio shs 100,000
More info: 0656331882 Aunt Sadaka
#mentalhealthawareness
For age 12- 14 youths
Mkazo zaidi ikiwa ni kwenye kumjenga Character competence, moral values na resilience
Date: 7 - 11 October 2024
Time: 3 asubuhi 9 mchana
Venue: Msasani Beach Club, Kawe
Fee 100,000 Tshs kwa materials, chakula na refreshments.
More info: 0656331882
Kijana wako anaielezeaje familia yenu kwa neno moja? Tunaongelea hili na kujenga thamani ya familia. COLLEGE READY..!
17 - 21 September 2024
TOPICS
▪︎Gift of life and self
▪︎Lifestyle and realities
▪︎Study skills guides
▪︎Planning your Finances
▪︎Youths Mental Health
Its tomorrow!! I can't wait to meet all my wajukuu. One week of enrichment, empowerment, owning thy self and transformation 💪💪💪💪💪💪💪
Yaarab hold nafsi za wajukuu waende kuelewa na kufanyia kazi knowledge na experience tunaenda ku - share 🤲🤲🤲
COLLEGE READY...!
Youth's program 18- 25yrs
29th July - 3rd August 2024
9am - 3.30pm everyday
Venue : MIKOCHENI
Fee: 150,000 covers workshop materials, lunch and refreshments
Info: 0656331882
Aunt Sadaka
"Learning lessons that last a lifetime"