Wananchi wakiondoka ukumbini huku wakiimba wimbo wa uzalendo wa Zanzibar baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kuzuia kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ya Maridhiano ya Wazanzibari yaliyozaa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. https://t.co/hnBT8uA7ll
Zitto Kabwe: Kuna watu wanasema tutatangaza tuu matokeo (hata kama CCM imeshindwa). Maalim kasema labda watangaze Bara!! Maalim tunakuhakikishia hata bara wasithubutu kutangaza. https://t.co/LtnaQgnbvB
"Wanadanganyana kuwa 2020 hakutakuwa na uchaguzi bali ni kutangazwa tuu. Kama ni kutangazwa watatangazwa Bara sio Zanzibar"- Maalim Seif, Mshauri wa Chama, ACT Wazalendo. https://t.co/hu0V7eUtwB
Wateule wa mikoa wa chama cha ACT Wazalendo wakipokea barua zao za uteuzi kutoka kwa mshauri mkuu wa chama hicho, Maalim Sief Sharif Hamad https://t.co/1Bp3tu7K0O