Moja ya njia ya uzazi wa mpango kwa kuzuia mimba zisizotarajiwa ni mwanaume kumwaga nje.
.
Je mwanaume unaweza kumwaga nje😜?
.
Mwanamke mumeo anaweza kumwaga nje🤓?
@iamZature@kapeto98@Aduiwayanga@amprincess9@Neypaul01@HildaNewton21@RahmaMwita @__abdulazack @bajabiri Nona unakazana kuprove point yako. maelezo yako uliyotoa yapo sawa , lakini ukweli ni kwamba P2 sio dawa au njia ya uzazi wa mpango na haijatengenezwa kwa sababu hiyo. Ni dawa ya dharula tuu.
.
Chukua hiyo na kubali kukosolewa wala haikupunguzii chochote🤝
@iamZature@kapeto98@Aduiwayanga@amprincess9@Neypaul01@HildaNewton21@RahmaMwita @__abdulazack @bajabiri Uzazi wa mpango ni jumla ya mikakati, njia, na huduma zinazotumiwa na watu ili kudhibiti idadi ya watoto wanaotaka kuwa nao na wakati wanapopanga kupata watoto hao. Lengo la uzazi wa mpango ni kuwapa watu udhibiti wa uzazi wao kulingana na hali zao za kibinafsi, kifedha na kiafya
Madaktari 6 bora zaidi duniani
.
1️⃣Mwanga wa jua
.
2️⃣Mapumziko
.
3️⃣Mazoezi
.
4️⃣Mlo bora ( Balance diet)
.
5️⃣kujitadhimini
.
6️⃣Marafik wachache wanaokupa hamasa ya kuwa bora zaidi ya ulivyokuwa jana
Wanawake hawapendi kuulizwa kuhusu umri wao ( Una miaka mingapi?)
.
Wanaume hawapendi kuulizwa kuhusu mshahara wake ( Unalipwa / Unatengeneza Tshs ngapi kwa mwezi?)
👉🏾Ugumba kwa wanawake
.
👉🏾Upungufu wa nguvu za kiume
.
👉🏾Magonjwa ya pressure na kisukari
.
👉🏾Ugonjwa wa moyo na vifo vya gafla
.
👉🏾Kansa za aina mbali mbali
.
👉🏾Kupoteza mvuto & muonekano mzuri ( unaonekana kama kiroba cha mchele au sukari🤓🧓)
.
Hayo ni madhara ya Vitambi
Kuwa na afya njema na mwili wenye muonekano mzuri ni ishara ya kujiheshimu
.
Watu wanaokulakula hovyo, wanaume wenye vitambi na wanawake wenye matumbo makubwa kwasababu ya kuendekeza kulakula hovyo hawajiheshimu