EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯
Mara walitoka nje ya Nchi, ikaja walifuata mkumbo sasa hivi eti walilipwa! Huwezi zima life la mtu kwa kuzimisha maelfu alafu akili ikawa sawa.
Sio kanuni ya kibinadamu, ni kanuni ya MUNGU kuwa damu ya mtu huwa inalia na kunena
Amekosa backup ya wananchi✅✅
Amekosa backup ya kundi fulani kwenye chama chake!!✅
Sasa anatafuta backup ya Zanzibar
ili kuleta uzenji & utanganyika.
Then anatafuta backup ya Muslim
ili kutela ukristo & uislamu.
VIDEO:
Muhadhiri wa Kiislamu Sheikh Shaban Muhoro amesisitiza umuhimu wa Watanzania kutambua kuwa haki haiji bila amani na haina umuhimu bila ya uwepo wa amani kwenye Jamii, akisisitiza kila mmoja kutimiza wajibu wake kikamilifu katika kulinda na kuienzi amani ya Tanzania.
Sheikh Muhoro ameyasema hayo Jijini Dar Es Salaam akiwa ameambatana na Wahadhiri wengine wa Kiislamu, akionesha kusikitishwa na wale wanaowakosoa kwa kuwaita kwa majina mbalimbali kama ‘chawa’ na ‘Mashekhe ubwabwa’, kosa lao likiwa ni kusisitiza kuhusu amani.
"Kwa mtu mwenye akili huwezi kudai haki sehemu ambayo haina amani, unamdai nani wakati taifa lipo kwenye vita, unamdai nani wakati taifa lipo kwenye machafuko? kile kilichotokea kiwe jaribio la funzo kwetu, bahati mbaya tukiongea kuhusu amani na msingi wake tunaitwa machawa na masheikh ubwabwa." Amesema Sheikh Muhoro.
Sheikh huyo ameonya kuwa amani itakapotoweka nchini Tanzania kamwe haitoweza kurejea tena kama ilivyokuwa awali, akirejea adha ambayo wengi waliipitia wakati wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Jumatano ya Oktoba 29, 2025.
TAARIFA YA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT)
Kuhusu Kupatikana kwa Dkt. Furaha Michael Kibaba, mkoani Geita.
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinapenda kutoa taarifa kuwa tumefuatilia kwa karibu taarifa za awali za kutoweka kwa Dkt. Kibaba
(1/4)
Amini Kwamba SAMIA, Ndiye Atakuwa Mwanamke Wa Kwanza Barani AFRIKA, Kupelekwa Kwenye Mahakama Ya Kimataifa Ya ICC Iliyoko Nchini Uholanzi Mjini The Hague Kwa Makosa Ya Mauwaji Ya Halaiki Na Kimbali Yaliyofanywa Na Vikosi Vya Ulinzi Na Usalama Kwa Amri Yake,Ili Kulinda Urais Wake.
Tulihubiri sana na bado tutaendelea kuhubiri kuhusu HAKI!!
Tunapohubiri kuhusu masuala ya HAKI tunaomba sana wananchi muwe mnatuunga mkono.
Msipuuze kwasababu mnaona labda wanaotendewa maovu ni wapinzani tu!!
Mkahisi nyie mko salama!
Msipuuze mnapoona wamasai ngorongoro wananyimwa haki, mkajiona nyie ndio mko salama!
Msipuuze mnapoona wakosoaji wa serikali wanatekwa na kuuliwa, mkasema wamezidi hao wanastahili, na kujiona nyie mko salama!!
Msipuuze mnapoona wenzenu wanaandamana na kuuliwa, mkasema wanastahili walitumwa na nani kuandamana!! Mkajiona nyie mnaobaki nyumbani ndio mko safe!!
NOBODY IS SAFE
MY BROTHERS & SISTERS!!!
Yeah……NOBODY‼️
Injustice anywhere is a threat to Justice everywhere!!
Wapo walioamua wasiandamane wakabaki nyumbani wakiamini wako salama, na bado wakauliwa huko huko majumbani!!
NA HAWAJAIPATA HAKI YAO,
KAMA AMBAVYO HAJAIPATA MZEE KIBAO!!
Anatekwa,anauliwa,anafungwa mkosoaji wa serikali na unaona ni haki yake kufanyiwa hayo!!
Kwakuwa wewe hujihusishi na siasa basi unaona hayatakukuta na unaamini uko salama!!
Unakosea mdogo wangu!!
Injustice anywhere is a threat to Justice everywhere
Kesho utapishana kauli na mfanyabiashara mwenzako naye ataona njia sahihi ni akutumie watu wakuteke wakuue na utauliwa kweli!!
Na wanaweza wakatumwa wahuni wale wale wanaoua wapinzani, ambao awali uliliwashangilia na kujiona hawatakufikia!!
My dear utafikiwa katika angle ambayo you didn’t see it coming!!
Keshokutwa utagombania Mwanamke club na mtu, au utaDate mume wa mtu, mwenye mume ataona njia rahisi ya kukuadhibu atume watu wakubake,wakuchinje wakuue!!
Na utabakwa kweli, utachinjwa kweli!!
Again, wanaweza wakatumwa wahuni walewale ambao uliwapigia makofi wakati wanawateka wapinzani!!
Hukujua kama kuna siku watakufikia!!
Shosti, utafikiwa katika njia ambayo hukuwahi kuitegemea….sikutishi ila WATAKUUA KWELI TENA KIKATILI!
Je hapo umejihusisha na siasa?👆
Si uliamua tu uDeal na biashara na mapenzi na ndio hayo hayo still yanachukua uhai wako!!
Mifano iko mingi ya masuala haya ya haki, na wala haijihusishi na siasa!
Mtadhulumiana mashamba, viwanja,nyumba za urithi,ndoa na mahusiano, mali, etc.
Na mtaenda jela /mtauliwa kwa angles hizo, kwa uvunjifu wa haki ileile uliyoishangilia wakati wanatendwa wengine(Wapinzani)
Again…. Injustice anywhere is a threat to Justice everywhere.
Unga mkono unapoona watu wanadai Haki Ya Kweli!!
Otherwise tutatengeneza taifa la ajabu sana la watu kujichukulia sheria mikononi na hakuna yoyote atakuwa salama!!
‼️HII SI TUME BALI KAMATI YA KIFAMILIA AU YA MAKADA ❌
Wadau mmenishtua kumbe hawa wajumbe ni makada watiifu na/au wanafamilia wa Samia na Kikwete na CCM
Nyie wauaji na wadhalimu - msituletee kikundi ambacho kinaweza kuwa kamati ya usuluhishi wa ndoa ya Wanu na Mchengerwa alafu mnakiita Tume Huru ya Uchunguzi! 🚮
Acheni kutudhihaki wananchi! Tunataka uwajibikaji na #SamiaMustGo
Msipoteze kodi zetu na huu upuuzi
#TanzaniaMassacre
Hellow, Shirley Botchwey, @SGCommonwealth.
There have been gruesome deaths in numerous regions. It’s not possible to hear anything in all parts of our country in four days alone. As a citizen and resident of the United Republic of Tanzania, I am writing.
Your special envoys to United Republic of Tanzania, Dr. Lazarus CHAKWERA and The Commonwealth Secretary-General Professor Luis G. Franceschi planned to meet mentioned groups in their travel to Tanzania..
While journeying, they will meet with Government officials, political party leaders, representatives of civil society organizations, religious leaders and traditional leaders, national and international stakeholders.
As part of efforts to address issues surrounding the elections to support the start of a national dialogue on reconciliation and development after election that prompted protests and a deadly police crackdown.
What about the families who have suffered the loss of their loved ones? Who do they encounter? Who is the recipient of their stories? Did they not have any stake in what happened during and after the election?
We strongly reject any efforts to engage all stakeholders in dialogue that advances democracy, national reconciliation and development that exclude families that have experienced the loss of loved ones.
The Commonwealth has skipped crucial steps. One, investigations of the massacre and accountability. Murder shouldn’t be allowed to go undetected. After that, we move on to the subsequent phase.
Authorities imposed an internet blackout and they sent troops into the streets to disperse the protests. That was a grave human rights violations that include killings, enforced disappearances, unlawful detentions
Authorities should promptly, thoroughly, independently, impartially, transparently and effectively investigate all killings by security agents and bring to justice in fair trials those suspected of being responsible.
From my perspective, we must not engage in dialogue that advances national reconciliation while the exact death toll is unclear. We do not view the Commonwealth and Government’s games in a positive light.
Cc; @commonwealthsec; @SGCommonwealth; @lgfranceschi; @LAZARUSCHAKWERA;
Bado nawaza sana, unakuta wapo baadhi ya wale ndugu zetu walivyoshambuliwa na risasi pengine waliumia tu na kuzimia kutokana na kupoteza damu nyingi!!
Wakaenda kuwatupa mochwari wakiwa hai
na kwa namna ile walivyowaweka, hata fahamu zikikurejea unajikuta juu yako kuna miili ya wenzako unakosa pumzi unakufa kikatili sana……
Pengine waliomba hata msaada huko na hakukuwa na wakuwasaidia, wanakufa wanajiona……. Hii inaumiza zaidi!!
What if waliowazika haraka haraka wamezika watu waliozimia tu!!
Hivi vitu kila nikijaribu kuvisahau nashindwa!!
Watanzania wenzangu, tunatangaza kumtafuta kaka yetu Hamis Tweve wa Mlowo, Mbozi mkoani Songwe ambaye hajaonekana tangu kipindi cha maandamano hadi leo.
Kwa yeyote atakayemuona au kupata taarifa zake atoe taarifa kupitia namba hii +255 757 566 584 (Luck Tweve). Asante
Nilifanikiwa kurejesha mawasialiano yangu kupitia line yangu ya @VodacomTanzania .
Bado naendelea kusisitiza nijulishwe, sababu hasa ya mawasialiano yangu kuzuiliwa kwa siku kadhaa.