Ni zaidi ya miezi miwili Sasa nimeacha kutumia huduma za kupiga simu, kutuma sms wala kununua vifurushi vya internet kutoka mtandao wa @Tigo_TZ . Sana Sana nimekua nikinunua muda wa maongezi usiozidi tzs 1000 kwa ajili ya kuweza kutumia huduma ya simbanking crdb bank ambayo makat
Nitume ujumbe ONDOA MUZIKI kwenda 15571 ili kuondoa huduma hiyo. Nilifanya hivyo lakini huo ujumbe haujafanikiwa kwenda zaidi ya Mara tano nimejaribu. Nimemkopi @TCRA_Tz @SuluhuSamia@DocFaustine lakini mpaka Leo hii @Tigo_TZ wameendelea kuiba pesa yangu na mamlaka husika kukaa
@TCRA_Tz wametoa namba 15040 kwa ajili ya kutoa taarifa za matapeli mitandaoni lakini hiyo namba haipatikani. Mnatia aibu @TCRA_Tz @DocFaustine@SuluhuSamia Nimepokea sms 2 zenye viashiria vya utapeli nimejaribu kuzituma kwenye hiyo namba lakini hazijaenda salio ninalo la kutosha
@TCRA_Tz Hii namba yenu feki 15040 haipatikani kwa njia yoyote ile. Si kupiga wala kutuma sms. Kama vile mnashirkiana na hao matapeli @TCRA_Tz cc: @SuluhuSamia
@Tigo_TZ level yenu ya wizi imefika kiwango Cha juu kupitiliza. Niliamua kuacha kutumia huduma zenu za mawasiliano sababu ya wizi ulikithiri. Mnaiba airtime bandle za wateja, Sasa saivi mnaiba mpaka salio la kawaida nimenunua muda wa maongezi siku mbili.mfululizo sipigi Wala kutu