Kwa Sasa ukiingia huko Instagram Kila sehemu lazima ukutane na picha za huyu Dada, anafanyiwa promosheni Ili aibuke kuwa mshindi kwenye mashindano ya Miss Grand international (county power).
Huwezi amini kupiga kura ni 2800 pesa ya kitanzania, na watu wame piga kura mpaka ameibuka kuwa namba Moja, na Sasa wapo top 4.
Unaambiwa Jana tu imetumika pesa milioni 200 za kupiga kura ambazo zilikuwa Zina changishwa na Niffer, ikamfanya huyu binti kuongoza pale juu na kuwashinda washiriki wa nchi nne, Chile, Ecuador na Vietnam, Imagine.
Lakini kitu Cha kushangaza zaidi mshindi wa shindano hili ata lipwa milioni 100 pesa ya kitanzania.
Huyu Binti anaitwa JIHAN MOHIN DIMACHK
Mwenye kujua huyu binti anatokea mkoa gani na ni Kabila gani atueleweshe, ni Kwa nia njema tu, mana ameiteka Instagram huko.
🏔️ MOSHI, TANZANIA 🇹🇿
Moshi is a vibrant town in northern Tanzania, famous for its stunning views of Mount Kilimanjaro, Africa’s highest mountain. 🏔️🌍 The town is surrounded by greenery, busy streets, and rich local culture, making it an important gateway for visitors exploring Kilimanjaro. 🌿🚶♂️✨
#TANZIA: Jeshi la Police mkoani Manyara limepata pigo kufuatia kifo cha Mrakibu Msaidizi wa police, Danice Baraka, kilichotokea Leo 0ct 02, 2026.
Jeshi la Police mkoani Manyara limepata pigo kufuatia kifo cha Mrakibu Msaidizi wa police, Danice Baraka, kilichotokea Leo 0ct 02, 2026.