Kuna mtu unamjua mmeanzia karibu sehemu moja
Lakini leo anakuzidi pesa, matokeo na maendeleo
Na ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni huu
Hakuzidi kwa akili
Hakuzidi kwa bahati
Ana tabia chache tu anazozirudia kila siku ambazo wewe huzifanyi
Njoo nikuoneshe mchezo wote:๐