Ushawahi kuibiwa Laptop , Desktop au Notebook yako.? Sasa suluhisho la wizi huu ni hii kitu, DEFCON COMBINATION CABLE LOCK. Halafu imebaki moja kama unavyoiona . Serious buyer aje DM.
YUNUS ALLI 32YRS, MSHIRAZI WA KILIMA HEWA AMBAYE ANATUHUMIWA KUJIFANYA MTUMISHI WA SERIKALI "TISS". AMEKAMATWA NA KUPATIKANA NA VITU VIFUATAVYO;
1) PLATE NUMBER NYEKUNDU 112
2)PLATE NUMBER ZA NJANO 27
3)PLATE NUMBER NYEKUNDU 12
4)PLATE NUMBER ZA NJE YA NCHI 2
Viongozi waropokaji ndo mnapotupeleka huku, hiyo video ya Kwanza mchana jana. Sasa angalia video ya pili kilichomkuta usiku. Inasikitisha mno, sijui tunakwenda kujenga taifa gani .?
Baada ya @shaffihdauda1 kufungiwa miaka 5, nimeona huku mitandaoni watu tumegawanyika kwenye makundi kwenye kuipokea taarifa hii, ila nataka niwakumbushe Shaffih anakwenda kuweka precedent, wapo wengine wanafuata very soon na huenda vifungo vyao vikawa vikubwa kuliko Shaffih π
Langu kwako utanielewa na kuniwezesha kupiga hatua katika kusaidia taifa langu. Wako katika ujenzi wa Taifa Theobald George Mushi. Kazi njema Mh. Rais.
Naomba Kigali chako cha kiniwezesha kupata mkopo wa riba nafuu maana mimi ni kijana ambaye sina kazi na toka nimalize chuo mwaka 2014 sijawah pata kazi ila vishughuli video kidogo tuu. Hii ni fursa ambaye naiona lakini napata wakati mgumu kuweza Kujua wap nianzie. Tegemeo