- Ass CEO Xtremo Company limited
- Former President of Mwalim Nyerere Memorial Academy Zanzibar
- Civil Servant in The Revolutionary Government of Zanzibar
Raila Odinga ni miongoni mwa watu ambao ni mfano wa kuigwa. Hususan kwenye kusimamia misingi aliokua akiiamini. Leo hii Kenya ni miongoni mwa nchi za kuigwa kwenye maswala ya Kidemokrasia. Alipigania haki ,usawa, ukweli na uwajibikaji. Tutamkumbuka daima jemedari huyu.
Mkutano baina ya Trump na Putin huko Alaska ni katika harakati za kutaka suluhisho la vita vya Urusi na Ukraine. Mkutano kama huu huwa na umakini mkubwa wa ulinzi na usalama baina ya pande zote. Putin amepita kuzindua kiwanda cha mafuta ya samaki kabla ya kufika eneo la tukio.
Dira ya Maendeleo ya Taifa (2050) ni maono ya Serikali yetu ya jinsi gani uchumi wetu utakua katika kila sekta kwa miaka 25 ijayo. Wadau mbali mbali katika jamii, walishiriki katika kutoa maoni yao.
Swali ni je, Vijana tumejipanga vipi kutekeleza dira hii?. Je tunaijua?
Leo katika kumbukumbu.
Ni mwaka 2020, Dr Mwinyi akiwa anaahidi wafanyabiashara wa soko la Mwanakwerekwe ya kuwa atajenga soko jipya na kuboresha mazingira ya biashara Kwa Wafanyabiashara na kuwaondoa katika mfumo genge waliokuwa wakiutumia hapo awali.
#leoyametimia#Drmwinyi
Mwandishi nguli wa Vitabu lukuki kutoka Nchini Kenya amepumzika milele. Tutamkumbuka kwa jinsi alivyotumia elimu yake kufunua lubu za wasomi wengi ndani na nje ya Afrika Mashariki. Mimi nitamkumbuka Kwa jinsi uandishi wa kitabu chake cha "weep not,child" ulivyo na maudhui mazuri.
@Mjengaomar Can't wait for the speech. Kwa sisi vijana tunaochipukia in that field, tuna mengi ya kujifunza. Naomba unitag endapo ukipost hio speech. Ama privately (WhatsApp) +255776569190. Nitashkuru sana kiongozi. Mungu akusimamie.
LEO KATIKA DIPLOMASIA.
Inasemekana kuwa, bendera ya Saudi Arabia, haijawahi kupepea nusu mlingoti. Hata ikitokea kifo cha kiongozi mkubwa wa nchi hio. Hii ni kutokana na itikadi za dini ya kuwa bendera hio ina jina la Mungu. Mungu ambae, hakuna alie juu zaidi yake.
"Ishi na vachu vizuri, damu si ndhicho tena."
Haya ni baadhi ya maneno yaliotumiwa na mwana mashairi maarufu nchini Kenya, Brother Nassir,(Blue Simba) Ametumia lugha ya Kiswahili, lahaja ya Lamu. Mashairi yamezingatia vina na urari katika beti zote. Limejaa tamathali za semi.
Uhusiano wa Tanzania🇹🇿 na Guinea Bissau 🇬🇼 . Dr Samia Suluhu amempokea Rais wa nchi hio, Mheshimiwa Umaro Mokhtar Sissoco Embaló. Guinea Bissau inasemekana kuwa ni miongoni mwa wauzaji wakubwa wa Korosho, Njugu Nyasa na Samaki duniani. Je mkutano huu una mikakati gani?
LEO KATIKA DIPLOMASIA
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amepata tuzo mbali mbali ikiwemo ya Africa Road Builders – Babacar Ndiaye Trophy 2022. Hii ni kwa sababu,amekuwa akitenga wastani wa Shilingi bilioni 850 kila mwaka kwa ajili ya kugharamia matengenezo ya barabara hapa nchini.
A rare photo of the grandmother of Sultan Qaboos bin Said. Fatima bint Ali Salem Thuwaini Al Busaidi. First wife of Sultan Taimur bin Faisal, mother of Sultan Said bin Taimur, and the grandmother of Sultan Qaboos. Born in the Sultanate of Zanzibar in 1891 and died in 1967.
"Ma cherie cherie
Mu ungiye baridi weni komeya
Mi uka makini
Matso yangu ye hu ona hu fumbariya
Zidisha ye zana
Bawe huni lisi yilikiki kazana
Kama mapenzi pili pileey
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwileey
Uwe wako uchukue"....
Dadiposlim Comorés