@JohnMallya@IamLyenda Wewe ni CHAWA na mkabila, unafanya kazi za chadema sababu ya ukabila sio UWEZO, 2014 ulipokuwa unaanza uwakili uchaguzi mdogo wa kalenga pale iringa camp ya Chadema hukuwa hata na suruali ya KUBADILISHA Leo unaota KIBURI... Huna hadhi ya kumkashifu SINIOR counsel Lissu.
Msimuue huyu dogo mtakiwa mmefanya dhambi mbaya sana kumuua yatima anaepigania Haki kwenye nchi yake, bado ni kijana mdogo asiye na madhara wala mipango miovu kwa nchi yake... Mwachieni huru, Mungu ni mkali sana.
WASICHANA wengi waliopo bar kama wahudumu wa bar asilimia 70 ya wafanyakazi hao wamezaa na wameacha watoto kwa wazazi wao ama ndugu zao wameamua kwenda kusaka Mkate wa watoto wao viwanjani... Mshahara laki wanawezaje kulea watoto huko makwao na wao kujikimu? KUNA WIMBO zito.
@MsigwaPeter Huna akili wewe unazeeka vibaya, mbinafsi sana wewe mzee, ulikwamisha harakati za chaso iringa sababu ya ubinafsi wako, wewe hujawahi kuwa mwanasiasa bali njaa zilikuwa zinakusumbua, kama kuna mtu aliyekuwa anataka kukaa na mwamba pembeni hata kwenye picha ulikuwa wewe KUPE.
Jeshi letu wananchi JWTZ haliwezi kuwafumbia macho wajinga kama hawa WANAOTAKA kushusha hadhi jeshi letu Imara naamini kwa nidhamu za jeshi letu tayari watakuwa wapo Nguvuni wanasubili utaratibu... MP walishafanya kazi zao za kiuaskari dhidi ya huyu muharifu na wapuuzi wenzake.
Najua jeshi la wananchi litawafukuza kazi mara moja huyu mpuuzi na wajinga wenzake waliombaka na kumlawiti dada yetu wa Yombo, kwa kuwa kosa Hilo wamelitenda uraiani tunahitaji wapandishwe Kisutu wakale ile miaka 30 jela na huyu mjinga apimwe akili maana bangi zimemuathiri.