@boka__jr@Ghost_Pizoo@HildaNewton21 Sijakataa kuwa Watu walikuwa wanapambania Haki ila msisambaze uongo wa kusema eti maandamano yalikuwa ya Amani na Mali za watu wengi zimeharibiwa,,
Ni kweli Haki lazima zipambaniwe ila zinapambaniwaje,, anyways tuishie hapa am not politician hata hvyo
@MariaSTsehai@frankkips1@SuluhuSamia@MariaSTsehai stop spreading lies,, walianza naa Amani kwa kichoma vitu,, Do reference mnapromote Ujinga ambao mwisho wa siku tunaoumia na kuteseka ni sisi watoto wetu na wazazi wetu, nyinyi mpo majumbani mwenu mmetulia, mnatushawishi kuingia barabarani Nyinyi mbona hatuwaoni!?
@Ghost_Pizoo@HildaNewton21 Nyinyi Manoongea ila Mimi nimekuwa kwenye live za TikTok before mtandao uzimwe, waandamanaji wengi walishafanya uhalifu kabla hata ya police kuingia barabarani, Mkae mjitathimini hawa watu walifanya uhalifu tena wengine walivamia vituo vya polisi Sasa mlitaka police wafanyaje!?
@Rydx_017 Hivi vinaitwa vibati balaa sana
Kuna kimoja kinaitwa charedio hiko mpaka wimbo wa taifa umepigwa ndani yaan mpaka lile beat la kipindi Cha michezo saa 1 unusu radio Tz
@Sukayotz Hapo hujapigia hesabu Hilo zulia la heshima hapo chini pamoja na hizo nembo zilizomfunikia zenye msalaba
Roughly kama 39.983 TRILLIONS
Hapo hatujazungumzia huo ubao wenye kitambaa chekundu hapo chini