Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali
wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
@TanzaniaLeaks@SuluhuSamia Rais wetu ni mtu mwenye uelewa sana na mapenzi makubwa kwa wananchi wake maana mpaka sasa tunashuhudia vitu kushuka bei hayo ni mahaba makubwa sana heshima kwake na Mora ampe Afya tele achana na tweet za kishamba na kichochezi
@earadiofm@JMakamba Kwakweli ninashangaa sana why? Siku hizi kigogo haongei au kasafiri maana mpaka saloon wamepandisha bei huku kwetu debe la mahindi 15,000 na bado mh! Sijui tunaelekea wapi