@bizy94@MariaSTsehai@MuggyMaggy he was 'welcome' by then.. ila kwa sasa hawamuelewi sema kama hajielewi.. ana fosi mambo ila mambo haimkubali.. Mzenji is like.. kwendaa kuleee
@zittokabwe Walitaka uheshimiwa. Wakataka mikopo ya magari. Hela ya mafuta. Sasa wanataka namba maalum. Kesho watataka barabara maalum. Wasisahau kutafuta nchi maalum pia.
1/3: DC Mwanziva akemea uuzaji wa gesi pungufu
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mh. Victoria Mwanziva, (aliyesimama, pichani) amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wa gesi ya LPG ya kuuza gesi yenye uzito pungufu, akisema tabia hiyo inadhulumu haki za wateja wao.
@HusseinBashe Waziri Bashe, je kuna sababu gani walizotoa kuhusu hatua yao hiyo? Ni vema ukatujuza hilo pia. Ninaamini wana sababu.
Kwa muda mrefu, hatuna usimamizi wa ubora wa mazao ya kilimo…jambo ambalo linaacha maswali iwapo kuna usalama wa kutosha kwenye mazao.
@bajabiri Mwalimu, kwa mtazamo wa kawaida tu, 1. Thamani ya mwanadamu haipimiki kwa kiwango cha pesa au faini: 2; wanyama hawana uwezo wa kuelewa sheria hata ukiwawekea kivuko…binadamu anagawiwa jukumu la kujua namna ya kutumia barabara. 3: Kumgonga mtu kwa gari si kwa kukusudia…
@swahilitimes Jamani msililizeni mpaka mwisho. Msikilizeni mpaka mwisho. MSIKILIZENI MPAKA MWISHOOOO…watu tunakuwa hukumu mkononi kwa sentensi ya mwanzo tu? Kaeleza vizuri, hakuna uwezo wa kulipa, taratibu zinafuatwa, mwili unatolewa…rekodi zioneshe hata Auditor aone proof.
@ReganTesha_ @Mwitah_tz Tesha, naelewa kiu yako ya kutaka kuelewesha jamii kuhusu hili. Ila kuna gap kubwa kwenye elimu ya lishe bora, wengine tunajibu ili kubisha na si kutaka kuelewa. Usikate tamaa. Tunakula takataka mnoo. Magonjwa yanaongezeka sana hatujiulizi chanzo. Chipsi, energy drinks ni janga!
@MarekaMalili Suala la elimu kwa mlipa kodi ni changamoto sana. Watu wapongezwe kwa kujenga barabara, hospitali nk, badala ya kuwapongeza wanasiasa kwa “kutoa mabilioni.”