Hii ndio ripoti ya matukio ya UTEKAJI iliyotolewa na jeshi la polisi @tanpol
Page zipo 6.
Hakuna tukio lolote unalolijua wewe limeandikwa kwenye page zote 6.
Niambie lipi umeliona? Na hapo ndio uchunguzi umekamilika. Kwahiyo ndugu zetu wakina SOKA, MZEE KIBAO, MDUDE, DEONIZ KIPANYA ndio imetoka hiyo.
Mimi tukio langu hawawezi kuandika wanajua nipo hai nitakosoa kama ninavyofanya siku zote kwahiyo nilijua tuu halipo.
TUTAKUWEPO🫵😎