Mchana kutafuta, usiku kumshukuru Mungu.
Napambana kimya kimya, kelele ataipiga mafanikio.
Sina bahati, nina dua za mama na juhudi zangu.
Kila siku ni nafasi mpya, ALHAMDULILLAH.
Ndoto ni bure, kazi ndio gharama yake. โ๏ธโ๏ธ๐ซก๐๐