"Tunahitaji jalala majumbani mwetu sababu ukiweka takataka ndani ya nyumba zitakuvundia, kunuka na kukuletea maradhi. Vivyo hivyo ukikaa na hofu, maumivu na maudhi kifuani mwako kwa muda mrefu bila ya kuyacheua. Hakikisha unaye wa kumcheulia. Unahitaji jalala katika maisha yako."
Hivi umewahi kujiuliza hili swali
"Kwa nini baadhi ya watu wanakuwa na mali nyingi wakati wengine wanaendelea kufanya kazi maisha yao yote bila kujenga utajiri?"
Mwandishi George clason amerijibu kwenye kitabu chake cha
"THE RICHEST MAN IN BABYLON"
Na hapa nimekuandalia uchambuzi wa kitabu hiki mwanzo mwisho
Shuka nao��
"Subra inasaidia sana kutojilaumu, kutojihukumu, na kukupa ustahimilivu katika nyakati ambazo muda wa kuwa na majawabu haujafika, maana majawabu mengine huitikia tu wakati wake, si saa na kalenda zetu." ~Togolani Mavura.
"Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa zenyewe ili wewe upate muda wa kufurahia maisha katikati ya shida moja na ingine."
Daudi alimwusia mwanawe Suleiman: “Mwanangu, epuka kicheko kingi; kinaweza kukufanya ukose chochote Siku ya Hukumu. Nyamaza isipokuwa unaposema mema. Afadhali ujute mara moja kwa kunyamaza kuliko ujute daima kwa kusema. Ukimya ni dhahabu.”
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA
1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI
Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka.
2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK)
Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu.
3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA
Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo.
4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU
Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo.
5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING)
Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…).
Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja.
6. KAMA HUPATI USINGIZI
Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa).
Ubongo huingia katika hali ya usingizi.
7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA
Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu.
Husaidia kufungua njia ya hewa.
8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA
Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu.
Chukua Hii...👇
WENZA WA DARASANI NA UJANJA WA MAISHA
Kuna jambo la kuchekesha na la kusikitisha kwa wakati mmoja kuhusu wenzetu wa darasani.
Tulipokuwa wadogo, tukikaa bega kwa bega kwenye madawati magumu ya mbao, kila kitu kilionekana sawa.
Tulivaa sare zilezile, tulilalamika juu ya walimu wale wale, na tuliota ndoto zilezile kubwa.
Kwa kujiamini kwa ujana usio na hofu, tuliamini maisha yangetulipa kwa haki.
Kwamba aliyekuwa anaongoza darasani angeongoza maishani, aliyekuwa anahangaika angeendelea kuhangaika, na kwamba juhudi daima zingelingana na mafanikio.
Lakini maisha si darasa. Maisha ni mchekeshaji mjanja, msimuliaji wa hadithi anayependa mabadiliko ya ghafla.
Kisha siku moja, miaka baadaye, tunakutana tena kwenye harusi, ibada, misiba, viwanja vya ndege, semina, mechi za mpira au kwa bahati tu dukani.
Na ghafla tunaona kitu ambacho hakuna aliyewahi kutuambia.
Yule kijana ambaye hakuwahi kufanya kazi za darasani sasa anaishi kwenye jumba la kifahari.
Yule aliyeshinda kila tuzo ya kitaaluma bado anatafuta nafasi yake maishani.
Yule aliyekuwa kimya darasani sasa anaongoza vikao vya bodi, wakati aliyekuwa kinara wa mijadala anakaa kimya, akisubiri fursa inayokataa kujitokeza.
Yule msichana aliyebadilisha wapenzi kama soksi alipata harusi ya kifahari na anaishi kwa furaha. Wakati yule aliyeonekana mtakatifu nusu sasa ni mama wa mtoto mmoja, akihangaika kutoka uhusiano mmoja kwenda mwingine.
Tunajiuliza: ilikuwaje hivi?
Hakuna aliyetuambia kwamba maisha hayafuati kanuni za darasani.
Kwamba bidii ni muhimu, lakini bahati na fursa pia zina nafasi yake.
Kwamba akili ni hazina, lakini mahusiano (mtaji wa kijamii) wakati mwingine yana nguvu zaidi.
Kwamba wengine hufanikiwa si kwa sababu wao ni bora kuliko wote, bali kwa sababu walikuwa mahali sahihi kwa wakati sahihi.
Maisha hayatupimi kama karatasi za mtihani. Yanarusha kete, na mara nyingine matokeo yake yanatustaajabisha.
Lakini kuna upande mzuri katika yote haya:
Haijalishi maisha yametutawanya kiasi gani, wenzetu wa darasani wanapokutana
“Dunia haiheshimu historia yako.
Inaheshimu kasi.
Inaheshimu mabadiliko.
Inaheshimu maamuzi ya haraka na ya ujasiri.
Badilika haraka.
Jifunze kila siku.
Chukua hatua bila kusita.
Usipoteze umuhimu.
kupoteza umuhimu ni kifo cha polepole.”
#UZI
💨 TENGENEZA SIMU YAKO MWENYEWE
📱🧰 Thread ndefu ya mbinu za kutengeneza matatizo ya simu yako mwenyewe moja baada ya nyingine.
Soma hadi mwisho uokoe muda na hela 🧵👉👇
💨JE SIMU YAKO INASUMBUA KUCONNECT WIFI?
Hii ndiyo sababu halisi na jinsi ya kuirekebisha professionally."
Unaweza kuwa karibu kabisa na router, WiFi inaonekana, unabonyeza “Connect”… lakini haifunguki
Shuka🧵🧵👇
#UZI
💨NJIA SABA (7) ZA KUTAMBUA AIRPODS ORIGINAL NA FAKE.
Shuka🧵🧵👇
Usisahau repost 🔄
1. 📦 Kifurushi (Packaging)
AirPods original huja na box lenye maandishi yaliyopangwa kwa usahihi, laini ya sealing haijafunguliwa.