Nilikuwa queue supermarket.
Msee mbele yangu alikuwa akihesabu coins kulipa.
Akiwa stressed sana.
Simu yake ikaring.
Akaanza kusema:
"Bro, siwezi toka leo na Porsche, nitachukua tu BMW."
Nilijua maisha ya social media ni tofauti. ๐
Jana niliona msee akibuy nguo mpya.
Akapost status:
"God did ๐"
Nikakumbuka jana tu alikuwa ananiuliza kama naweza mtumia fare.
Maisha ni content. ๐