MWANAUME;-
โ๏ธ Usimtongoze mwanamke kwa kumpa Pesa na mahitaji yake yote, umechimba shimo la kujizuia mwenyewe.
โ๏ธ Hakikisha kwenye process za kutongoza kwako Pesa haikosekani.
โ๏ธ Kujifanya unakwenda kuyamudu mahitaji yake na kwamba wewe ni mwamba, utaharibu Kila kitu.
โ๏ธ Ili usiseme wanawake wanapenda Pesa chagua mwanamke wa level yako, wengine ukimpa 2,000 atawasimulia mabest zake.
โ๏ธ Usikubali kupimwa mapenzi yako kwa kuelezewa shida lukuki, mpime kwa kutompa Chochote pia.
โ๏ธ Usimtongoze mwanamke anayekumudu sana, fanya urafiki na Pima kina Cha uwezo au nguvu ya Sauti yako kwake.
โ๏ธ Usimtongoze mwanamke kwasababu ana umbo zuri la kuvutia macho yako, Kuna malaana makali yamefichwa kwa warembo ili yakupate wewe!
โ๏ธ Mwanamke aliyekuomba muda ili akupe majibu usimtukane, usiagane naye vibaya, huenda mko wengi mnaomhitaji au Kuna penzi anataka life kabisa ndipo akupe nafasi.
โ๏ธ Ukimtongoza na ukakataliwa Tena kwa matusi na kukosewa heshima "mwanaume kama wewe utaniweka wapi?" Au "Siwezi kuwa na mwanaume kama wewe" kuendelea kumfatilia huo ni udhaifu na Usitarajie heshima yoyote toka kwake hata ukimpata.
โ๏ธ Kabla haujamtongoza mwanamke yeyote Anza kuwapeleleza hao Marafiki zako wa kike, inawezekana yupo ambaye yupo tayari kuambatana nawe milele anssubiri wewe umwambie unampenda, be careful!
โ๏ธ Mungu atakuletea mwanamke maishani mwako ila si kukutongozea! Move, leave, Try and make it happen!
VITU [9] VINAVYOWEZA KUPUNGUZA PERFORMANCE YAKO KITANDANI!
1. Hofu ( ya Mimba, Magonjwa, kufumaniwa) nk
2. Uchafu wa mwanamke (ukeni, harufu ya mdomoni au mazingira mchafu ya kitandani au chumba.
3. Kukamia mechi (amekula hela zako, umemmiss sana) nk
4. Ugeni (Kusex kwa mara ya kwanza na mtu husika).
5. Kutokula vizuri (chakula dhaifu) (Njaa).
6. Mawazo hasi (alivyo na Tako kubwa nitamwaga mapema) inakutokea vile vile.
7. Kusex mara nyingi sana (unapoteza stamina)
8. Kusex na usiye mpenda (hayupo moyoni) aidha ni ex wife au rafiki.
9. Aibu.
Inawezekana wewe ni mzima kabisa una nguvu vizuri, ila hizo sababu zikakufanya uperform chini ya kiwango.
Hebu jipeleleze, shida ni hizo sababu au ni kweli una dalili za kuwa na tatizo kwenye mfumo wako wa uzazi?
Ukiona una uhakika kwamba si utani ni kweli una tatizo don't relax tafadhali ๐ฅบ๐
Kindly Repost and Follow @mtia_moyo for more fatcs!