Kwenye maisha hakuna anaekuacha kaka chamsingi angalia kama unapiga hatua moja kwenda nyingi , hii dunia kimbia mbio unazoziweza , kama jana ulikua unalala chini na leo unalala kwenye kitanda tayari ni hatua ila usiangalie wengine maana zile ni hatua zao sio zako🤝
Yakobo 3:5–6
"Vivyo hivyo na ulimi ni kiungo kidogo,nao hujisifu makuu.
Tazama,moto mdogo jinsi uwashavyo msitu mkubwa"
"Nao ulimi ni moto;ni ulimwengu wa uovu miongoni mwa viungo vyetu.
Huutia unajisi mwili wote na kuuwasha moto mzunguko wa maisha,nao huwashwa moto na jehanamu.”