Enzi za highschool ukiwa na 15k unawaza kuanzisha mradi wa maandaz na cookies๐๐ shootout kwa wafanyabiashar wte highschoolโ๏ธโ๏ธAsante kwa wakopaji wte๐๐
Watu wanatabia ya kurudi tena kwenye maisha yako baada ya Kuwa disappointed na watu waliozania Kuwa ni Bora kuliko wewe. Wataku-disappoint tena,kwa Kuwa ni tabia yao.๐
#chkuahii๐
upendo, chuki na wivu ni zao la expectations, comparison na attachment Kuwa mwangalifu, fahamu kuwa wewe ni tofauti na uelewe chochote kinaweza kutokea ...
.
#NjeYaBox