Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutoka katika hazina bora iliyomo moyoni wwake.
Na mtu mbaya hutoa yaliyo mabaya kutoka katika hazina mbaya iliyo moyoni mwake.
Maana mtu huonekana na matendo yake.. #jifunze
Leo tare 31 mwisho ya mwaka 2022 Hakikisha unamaliza pesa zote ili 2023 utafute zingine mwanangu umepambana kwa nguvu zote sherehekea mafanikio yako bablai. Heri ya mwaka mpya