Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Mhe. Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha African International Convention Centre (AICC), Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki kwenye Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), tarehe 23 Novemba, 2026.
RAIS SAMIA AWASILI DAR ES SALAAM AKITOKEA ETHIOPIA
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, alipowasili akitokea Addis Ababa nchini Ethiopia, tarehe 23 Novemba, 2026 mara baada ya kukamilisha Ziara ya Kikazi ya siku mbili nchini humo.
Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), pamoja na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Katika kipindi cha hivi karibuni, Rais Samia ameajiri vijana wengi, hasa katika Serikali za Mitaa. Zamani tulizoea kuona watendaji wa kata, mitaa na vijiji, pamoja na maafisa kilimo na mifugo, wakiwa watu wazima. Lakini sasa hivi ukifika kata, mtaa au kijiji, vijana wametawala tena Gen Z🙌🏿😄.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka nchini leo, tarehe 22 Novemba, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa Ziara ya Kikazi ya siku mbili.
Akiwa Addis, Dkt. Samia atashiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), na kuzindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika, tarehe 23 Novemba, 2026.
Tumekamilisha ziara ya siku mbili Wilaya ya Songwe, tukitembelea Kata za Manda, Mbagala, Kapalala, Totowe na Chang’ombe.
Ziara imelenga kukagua uhai wa Jumuiya, kusikiliza kero za vijana, kujadili Dira 2050, fursa za mikopo na uchumi, pamoja na kutembelea vikundi vilivyonufaika na mikopo ya Halmashauri.
Ahsanteni sana Songwe kwa mapokezi mazuri na ushirikiano wenu. Pamoja tunaijenga Jumuiya imara na yenye maendeleo.
Mambo ya “ooh Koku usibishane,” sijui “don’t do this,” ooh nyenyenye kwa DM yangu Noo sitaki. Uku duniani I’m surrounded na watu wazima, wamenizidi miaka mingi na ma experience, nna family, wateja, watumishi wa Mungu, so kama nataka ushauri najua wapi pa kupata. Usilete kiherehere kwa DM yangu 🤣🤣🤣