1/2
Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.
Wakuu tusiache kupiga kelele hadi mwenzetu hapatikani, leo utaona haikuhusu ukanyamaza iko siku watafika dirishani kwako, tunahitaji kelele ya kila mmoja wetu mwenetu arudi uraiani #FreeNinja
@barbsryn_@Cowwbama Yaani watu wawili waliokubaliana kujifungia ndani alaf badala wafanye kilichowakutanisha wanaamua kuwasha camera!!! Wote ni wajinga tu lawama hazifai ziwe upande mmoja